WCB record label has signed a new artist under their stable and will be unveiled to the public soon.
This has been revealed by one of the managers at the label Sallam Sharaff in an interview with Wasafi tv.
According to Sallam, their attention is currently on their newly signed female artist Zuchu before they unveil the new artist.
"Tayari tuna msanii ambaye tumesaini lakini bado hajatangazwa , atatangazwa hivi karibuni kwa sababu kwa sasa tumemuacha kwanza Zuchu, anafanya vizuri kila mahali " said Sallam.
In the interview Sallam also explained why he snubbed Harmonize at the funeral of Babu Tale's wife.
http://ommydalla.co.ke/buzz/item/1620-the-beef-is-real-diamond-s-manager-sallam-sk-snubs-harmonize
"Mimi sikuwa na matatizo na Harmonize kabisa. nishaeleza mara mingi kwamba mtu wa kwanza kumpeleka Harmonize Nigeria ni mimi, UK ilikuwa ni mimi na sehemu zote nilikuwa naenda nafanya kazi naye bila tatizo lolote. Tatizo lilikuja kwa watu ambao wanawea kusema walivyona lile tukio lilivyotokea kwa mazishi wakachukulia ooh Sallaam anamind sababu Harmonize kwa label."said Sallam.
Adding "To clarify that, Harmonize hakuwahi kunisalimia kama miaka mitatu hivi ilivyopita au miwili hivi toka yuko WCB, kwa hivyo sikuwahi kuona umuhimu wa yeye kuja kunipa mkono pale siku ile wakati ashawahi kuniruka sehemu kibao tu, sikuona umuhimu wa siku ile kwa nini tudanganye umma, na navyoendeleaga siku zote husema mimi si mnafik. Mimi sina tatizo na yeye hata akisema aje kistarabu aniambie bwana yaliyopita si ndwele nakusalimia sasa hivi kiukweli na si unafik sawa , hauwezi kuja ukanipa mkono tu mimi kama punda umemuona barabarani "
Her further went ahead to reveal that he advised him (Harmonize) on starting his own label , Konde gang.
"Hata siku ambayo anakuja matatizo ambayo yanatokea ya yeye anatak kuanzisha label yake nikampa the whole picture how he can open his label and use the WCB fan base. Ukimwaga ugali au ukimwaga mboga mimi nabeba ugali naondoka nao.