The world of Music has finally matched Kenya’s finest songbirds- Nadia Mukami and Sanaipei Tande who have literally taken over the airwaves with their newest track- Wangu.
Written by Nadia and produced by Alexis on the Beat in Sevens Creative Hub, Wangu is in no doubt a definition of a perfect match. It is exactly what you get when you combine quality with quality.
In melodious vocals exchange, aided by cutting edge visual work by J blessing of Pink Lab video the Kiswahili lyrical queens drive home a message on squabbles between wives and side chicks in 3 min and 35 sec of fever pitch edutainment.
From the opening verse and all the way to the end, mellow voices of Sanaipei and Nadia invite you closer to the music, massaging your ears from the outer to the inner, and then to the brain, leaving your body relaxed and itching for a replay button.
For Nadia who is fast gaining global audience and popularity thanks to her fluency of swahili lyricism and soothing melodies, “Wangu featuring Sanaipei Tande” is her dream collaboration as she always looked up to her as a mentor.
VERSE 1
(Nadia)
Wewe nani, unanipigia simu kama nani
Eti niachane mume wako nani
Unajua Nadia kweli mi ni nani?
(Sanaipei)
We ni nani, unampigia simu kama nani eeh
Ata utoe vya ndani
Atarudi hapa kwangu tu nyumbani eeh
(Nadia)
Anapenda vidogodogo
Mwenzako anavimumunya
Mwanamke unapenda zogo
Tafuta jambo hilo la kufanya
CHORUS
(Nadia)
Oh oh ni wangu
Huyu nasema ni wangu
Oh oh ni wangu
Kubali yaishe ni wangu
(Sanaipei)
Oh oh ni wangu
Huyu nasema ni wangu
Oh oh ni wangu
Mwishowe yataisha ni wangu
VERSE 2
(Sanaipei)
Hivo vimesegi na kuficha simu havinishtui
Atachoka nawe, kwengine aende, yule hakagui
(Nadia)
Kelele ya chura haizui ng'ombe kunywa maji
Kwangu habanduki
Kwako hatoboki
Nakwama naye
(Sanaipei)
Anapenda wife material
Mwenzako anakudanganya
Mwanamke una kasoro
Tafuta jambo hilo la kufanya
CHORUS
(Sanaipei)
Oh oh ni wangu
Huyu unasema ni wangu
Oh oh ni wangu
Mwishowe yataisha ni wangu
(Nadia)
Oh oh ni wangu
Huyu unasema ni wangu
Oh oh ni wangu
Kubali yaishe ni wangu
BRIDGE
(Nadia)
Mi sitakoma, koma, koma, koma
MI sitakoma koma koma mama ye
(Sanaipei)
Ntakukomoa komoa komoa komoa
Ntakukomoa komoa komoa msichana we
CHORUS
(Sanaipei)
Oh oh ni wangu
Huyu unasema ni wangu
Oh oh no wangu
Mwishowe yataisha ni wangu
(Nadia)
Oh oh ni wangu
Huyu unasema ni wangu
Oh oh ni wangu
Kubali yaishe ni wangu