Friday, 17 May 2024 | Login
BREAKING NEWS
Rayvanny In Trouble After Leaking Dirty Video With Minor

Rayvanny In Trouble After Leaking Dirty Video With Minor Featured

WCB singer Rayvanny has found himself in trouble after a video of him getting cozy with a school girl leaken online.

In the videos which went viral on instagram, the singer is seen getting cozy with Paula Kajala.

Paula Kajala is the daughter to Harmonize's new girlfriend Kajala Masanja.

The videos have been the topic of discussion with the mother Kajala Masanja accusing Hamisssa Mobeto of linking her daughter with Rayvanny .

"Mimi ni mzazi ambaye namlea mtoto wangu kwa katika mazingira magumu sana kutokana na tofauti moja mbili tatu na baba mtoto wangu lakini mimi nilikuwa nikipambana na kumpa kila anachotaka mtoto wangu ili aweze kutimiza ndoto zake kama msichana mana kesho nitakuja kumtegemea. Lakini pia nilikuwa nikikumbana na changamoto tofauti tofauti ambazo zinamkumba paula kama msichana lakini shutuma nyingine huwa zinanijia mimi direct kama mzazi wa paula sina budi ya kuzipokea na kukumbana nazo as long as Mungu anajua ukweli wangu ,jinsi gani namtunza mwanangu na kiasi gani napambana kwa ajili ya mwanangu,basi yote yaliyotokea ya kunichafua na kunifanya nionekane mbaya kwenye jamii huwa namwachiaga Mungu tu."  posted Masanja.

Adding "Ilikuwa tarehe 9 saa 6 mchana hamisa mobeto aliniomba kutoka lunch na mwanangu, sikuona haja kumkatalia kwa sababu nilijua yeye ni mzazi ambaye ana mtoto pia wa kike,kumbe ndo hiyo siku alitake advantage kwenda kumkutanisha na rayvanny kwa manufaa yake binafsi,walimrubuni mtoto mdogo kwa kumnywesha pombe,wamemrecord video Chafu sawa mimi ni Mnyonge siwezi wafanya Chochote basi Hata Muogopeni Mungu Kama Mungu Hamumuoni Hamuiogopi serikali ? na kuvujisha video bila woga wakati ni mtoto mdogo anasubiria mwezi wa 6 kuingia form 5 siamini kama kuna alie juu ya sheria Katika taifa hili kama leongo lilikuwa ni Kudet Mtoto Mdogo ili Kutimiza Matendo Haya Machu Ya Kustaajabisha haitoshi mnampatia mtoto pombe na kumrecord Video chafu lengo lilikuwa nini Kama sio kuharibu Maisha ya msichana wa kitanzania ?Nimeumizwa mno na Hamissa mzazi mwenzangu hata kama iwe paula ndo alimwambia anaenda kukutana na rayvanny kama yeye mzazi ange Vaa kiatu changu na kujiuliza kinachoenda kutokea ni kitu gani au kama ni mimi nafanyiwa hivi ningejisikiaje? nimeshikwa na bumbuazi sina nguvu naomba Mamlaka husika wanisaidie kwenye hili mana hili pigo ni lawazazi Wote Duniani Paula ni msichana mdogo sana ana ndoto zake leo hii ameharibiwa profile nzima Je mmefikiria maamuzi gani anaweza chukua huyu mtoto kuona video kama hizi zinatambaa mtandaoni kama akiamua kujinyonga je?. Naomba sana msaada serikali yangu na mamlaka husika juu ya hili."

On her part Hamissa responded by saying she will take legal action against Masanja over what she terms as character assasination.

"Jamani hata kama HAMISA MOBETTO ndio jumba bovu lenu la kutupia takataka ifike mahala ifike ukomo. Siamini kama baada ya kukaa na kutafakari cha kuexplain kuhusu haya mmeona mimi ndio ninaweza kuwa Damage Controller. Kajala hiyo tarehe 9 mwanao aliniomba nimtoe Lunch, nikamwambia inabidi niongee na wewe kwanza, na nikakupigia ukaona ni sawa tu. Nilimtoa Lunch na muda wote nilikua naongea na wewe kwenye simu mpaka nimemrudisha hapo Gym kwako Mimi mwenyewe soon after lunch. Na huoni Kama unaongea uongo hadharani bila woga?? Siku ninatoka na Paula alikuwa na nywele hizo za kwenye videos? Naomba nilaumiwe kwa kukubali ombi la kumpeleka mwanao lunch na si vinginevyo. Mimi ni Mama, mfanya biashara, mdau na balozi wa makampuni mbali mbali. Brand yangu nimeijenga kwa muda mrefu hivyo ningependa iheshimike na isichafuliwe kwa shutuma za uongo kama hizi. Mimi pia ni mzazi na mtoto kwa mama yangu kama ilivyo wewe. Nimeona nisafishe upepo mchafu huu uliouelekezea kwangu siku hii ya wapendanao, lakini zaidi you’ll hear from my lawyer. Rest assured sitaliacha hili lipite bure, nafikiri itakuwa fundisho zuri na kwa wale wooooote ambao wamekua wakichafua jina langu kwa upuuzi wao."she posted.

Hramonize has also joined those blaming Rayvanny for the videos.

Taking to social media, Harmonize posted "YOUR MY YOUNG BROTHER AND ? Yafuatayo Sitoyasema Kama Mimi ni Mzazi wa Paula no Naandika Kama Mzazi Nilie na Mtoto wa Kike (ZUREKHA) Lakini Pia Kama Msani Mwenzio (RAY ) Najiuliza tuu..!! Ulipata wapi Ujasiri Huu Wa Kutembea na Mwanafunzi Wa Kidato Cha (5) Wakati ni Wazi Yakwamba ni Kosa La Jinai Hukumu Yake Sio Chini Ya Miaka 30 Lakini Pia Isitoshe Una RECORD na Video Ukiwa Una KISS Yani Unaonyesha Kwamba Serikali Haiwezi Kukufanya Kitu Nawaza Lengo Lilikuwa ni Kuonyesha Kwamba Upo Juu Ya Sheria .? Hebu Angalia Future Ya Mtoto Wawatu Umeiweka wapi Kwa Tamaa Za Siku 1 Kama kweli Mlikuwa mnapendana MUKO IN LOVE Video ilikuwa na Haja Gani And Lengo La Kuvujisha nini ...?? LAKINI PIA SERIKALI itajiuliza Una VIDEOS Ngapi Za Watoto wa shule Kama Umeweza Kuwa na hii Na Ukaivujisha ? Jee Uliwaza Wasichana wa Rika Lake ambao Walikuwa Mashabiki Zako Watafurahishwa na Hichii Kitendo Cha Kinyama ?".

Adding " Maana Kama Leo Umemfanyia Mwenzao Ni wazi Kesho Utawafanyia Wao ...!!! Huoni kama Umewapoteza Mashabiki imara...!!! Wataipata wapi Nguvu Ya Kujirecord Ngoma Zako na Kupost ikiwa Umemzalilisha Msichana mwenzao Mdogo (KINGONO ) ? Jee kuhusu wazazi wenye Watoto Wakike Watakutazama Sura Gani ...?? Usisahau Kuna Vijana wenzio Ambao wana wadogo Zao Wakike Watakuonaje ..??? Kwanini Usiendelee Kuimba Muziki tuu Huihitaji Kujiingiza Katika Kuhatalisha maisha Yako Kama Hivi Tazama mifano Ya Wasani Wakubwa Akina R KELLY Mpaka Leo wana Sota Ndani Kwajili Ya Mambo Hizi za watoto Wa (Shule) Kama Tatizo Lilikuwa Ni Mimi Kumpenda Mama Yake (P) Na watu wengi wakavutiwa Na sisi si Ungetafuta Mkubwa Mwenzio Why ( MWANAFUNZI) tena wa Miaka Hii Ya (JPM) SERIKALI YA LEO IPO MACHO SANAAA MAANA WATENDAJI WENGI NI VIJANA JE WATAKUBALIANA NA HILI Unadhani Waziri wa Sanaa Michezo Na Burudani Atakalia Kimya ??? Umejiuliza Mashirika Yanayosimamia Haki za Wanawake Watalifumbia Macho ??? Mamlaka Za Elimu Jeee ???? DAAH SINA LAKUFANYA ZAIDI YA KUKUOMBEA HURUMA YA SERIKALI #PRAY4RAYVANY".

On his part, Rayvanny has remained silent on the whole issue.
 

About Author

Login to post comments